Monday 8 June 2009

WAKOJACO



SARATANI inayomsumbua mfalme wa muziki wa POP, Michael Jackson, imesababisha ashindwe kutembea, na anahofu kuwa itamuuaIngawa madaktari wamemweleza kuwa saratani hiyoinatibika, anamashaka kuwa 'itamuondoa'.
Seli za saratani zimeonekana kwenye kifua, pua na mkono.
Kuna taarifa kwamba, hatatibiwa kwa mionzi, sehemu zilizoathirika zitakuwa zinakatwa

No comments:

Post a Comment